Kijiji cha Waswahili Wadadavuzi wa Hili na Lile
Bonny has not received any gifts yet
Salaam kaka.. Nimekuvizia na kukusubiri online leo, sijakuona.. Uwe na siku njema.
Ahsante sana kaka.. Uwe na weekend njema pia..
habari yako bonny
nashukuru kwa kuwa rafiki yangu
Jamani, nilikuja hapa kijijini kutoa mwaliko lakini hamna hata aliyejitokeza! Usijali, iddi ijayo ntakuja mpaka home kukukaribisha..
Yego mkaruka habariki wasu?
Lushoto kulikuwa vipi huko?
Nimemuona first lady wa Ivory Coast kwenye hii link, naona roho yake yajionyesha machoni.
© 2012 Created by Babukadja.