FotoBaraza.Me

Kijiji cha Waswahili Wadadavuzi wa Hili na Lile

Kisusi
Kisusi
  • -kiume
  • Dar es salaam
  • Tanzania, United Republic Of
Share on Facebook Share on Facebook Shirikisha Twitter

Marafiki wa Kisusi

  • Honie
  • Abdallah Juma
  • Pruga
  • noelahusna
  • Denise Cox
  • damnan
  • Martha P. J. Mkilema
  • MWINYI MPEKU
  • Bby Candy
  • Kai
  • Nacma
  • salma km
  • Sophia Kilindo
  • Oswald.
  • S. Mtemi

Gifts Received (1)

 

Only Allah can Judge us!

Yaliyojiri Muda Mfupi Uliopita

Profile Icon
Dah, kukicha nadandia Muro kuelekea Mza, kwa wadau waliopo Mza ntafurahi kukutana nanyi! Niombeeni nisafiri salama
Status posted by Kisusi Sep 21, 2011
Profile Icon
Eid Mubaarak kwa wanakijiji wote! Bajua nimewatenga sana lakini tupo pamoja kiroho!
Status posted by Kisusi Aug 31, 2011
Profile IconProfile Icon
Honie and Kisusi are now friends Jun 10, 2011
Profile Icon
Kisusi commented on Babukadja's blog post 'Unayo Habari Kwamba Ardhi Yako Imeibwa?'
Babu, hii ni hatari kuliko ilivyoelezewa hapa, maana yake ni kwamba tutakufa kifo asili cha kukosa chakula! Inatisha sana kwa kweli, kuna haja ya kuanza harakati za kujikomboa na mapemaa!
Jun 10, 2011
Profile Icon
Kisusi commented on Babukadja's blog post 'Mpira wa Barcelona Si wa Dunia Hii, Kudadadeki!'
Umeonesha uzalendo wa hali ya juu ktk tasnia ya ushabiki wa soka! Hongera kwa hilo, sidhani km itatokea timu ktk historia yenye kuujua mpira kama wale mafundi BARCELONA!
Jun 1, 2011
Profile Icon
Kisusi wamebadiliwasifu Jun 1, 2011
Profile Icon
Kisusi commented on Leila's video
Sharo uharo kaonesha ubunifu kiasi, japo sidhani kama wauza mihogo huwa katika muonekano aliotoka nao yeye! Nimeipenda  
Jun 1, 2011
Profile Icon
Kisusi commented on Babukadja's video
Masharo uharo wana tabu sana, sasa yy alidhani anaingia dance floor au ndo alikuwa anaonesha mbwembwe zake!
Jun 1, 2011

Wasifu Wangu

Uko Wapi?
Dar es salaam
Umri
31
Kazi Unayofanya
Mkulima
Namba ya Simu ya Haraka
+255 22 787/768 111123 & 0715 555512
Tovuti Yako:
http://Under Construction
Anuani ya Barua Pepe
KisusiMoha922@fotobaraza.ning.com
Mahusiano:
Married
Jinsia
-kiume

Picha za Kisusi

Inapandisha...
  • Weka Picha
  • Ona Zaidi

Comment Wall (148 comments)

Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Me kuweka maoni!

Join FotoBaraza.Me

At 9:59am on Mei 26, 2011, BabukadjaBabukadja anasema…
Kaka sasa unaweza kusikiliza radio Clouds na Times hapa kijijini. Enjoy.
At 4:12pm on Desemba 14, 2010, BabukadjaBabukadja anasema…

Kaka, ni hapahapa dar es salaam?

At 8:55pm on Novemba 1, 2010, CHA the GreatCHA the Great anasema…
Salama ndugu?
At 10:14am on Ocktoba 29, 2010, BabukadjaBabukadja anasema…
Chief swadakta?
At 4:51pm on Mei 1, 2010, Mzeiyah!Mzeiyah! anasema…
kaka vpi habari ya siku mbona kimya kimezidi
At 8:14am on Aprili 19, 2010, Saint Mabagala IISaint Mabagala II anasema…
Kaka maneno yako ni ya busara sana, na pia ni kitu ambacho huwa unanisisitizia mara kwa mara. kweli sasa nimekuwa mkubwa acha niwe kioo cha jamii
At 9:57am on Aprili 12, 2010, Abdallah JumaAbdallah Juma anasema…
wewe kweli mjaa wa laana basi hata nikibadilisha mtandao bado wanifuata kwa maneno SHIKA ADABU YAKO IBILISI WEE na utu uzima huu usinivunjie heshima !!!
At 4:34pm on Aprili 8, 2010, cherrycherry anasema…
At 11:26am on Aprili 3, 2010, Omari NamanjiOmari Namanji anasema…
kaka mzima wewe mimi wa
afya njema nakutakia pasaka njema
na mapumziko mema baiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
At 10:29pm on Aprili 2, 2010, cherrycherry anasema…
Kina aunt tupo ila tuna kimbizana na maisha ndio maana tumepotea.Mpe salamu kwa wingi.Halafu pale Rufiji ulikua ukimjua Mohammed mzaire mume wa Nahya??
 
 
 

© 2012   Created by Babukadja.

Beji  |  Report an Issue  |  Terms of Service

Free Web Counter
Hit Counter