FotoBaraza.Me

Kijiji cha Waswahili Wadadavuzi wa Hili na Lile

Leila
Leila
  • 34, -kike
  • Bandari Salama
  • Tanzania, United Republic Of
Share on Facebook Share on Facebook Shirikisha Twitter

Marafiki wa Leila

  • irene mbilinyi
  • SOSPETER SIMON NDABAGOYE
  • Emanuel Steven
  • jacqueline
  • Tina Temu
  • jfmadari mimi
  • Hubert Kayogela
  • Prosper Ngimbwa
  • maganga elia
  • James nanyaro
  • janet kibendera
  • Pruga
  • nobert
  • Kulwa Majubu
  • ANGELA JULIUS

Picha za Leila

Inapandisha...
  • Weka Picha
  • Ona Zaidi

Movies now in theaters..

Inapandisha... Loading feed

Gifts Received (1)

 

Happiness will never come to those who fail to appreciate what they already have.

Movie nilizoangalia hivi karibuni:

Comment Wall (517 comments)

Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Me kuweka maoni!

Join FotoBaraza.Me

At 1:48am on Februari 3, 2012, Mama MalaikaMama Malaika anasema…

Happy New Year!

At 10:12am on Novemba 12, 2011, ANGELA JULIUSANGELA JULIUS anasema…
DADA YANGU MAMBO VP NIMEPITA KUKUACHIA SALAMU MPENDWA WANGU NAKUTAKIA WEEKEND NJEMA
At 11:21am on Novemba 11, 2011, BonnyBonny anasema…

Haya bana umesamehewa!

At 3:19pm on Novemba 9, 2011, BonnyBonny anasema…

Wewe Leila wewe ohooo ukala Idd mwenyewe lol! Uchoyo huo kakufundisha nani?

At 2:56pm on Novemba 9, 2011, Boniface msamiBoniface msami anasema…

thanks leila mpendwa nashukuru unanikumbuka mungu akuzidishie wangu,,,,, ilove forever and ever,,,,

 

At 11:28am on Novemba 4, 2011, irene mbilinyiirene mbilinyi anasema…
asante sana naomba tuwe urafiki
At 2:20pm on Novemba 3, 2011, ANGELA JULIUSANGELA JULIUS anasema…

ASANTE DADA YANGU MPENZI KWA KUNIKUMBUKA SIKU YANGU YA KUZALIWA MUNGU AKUBARIKI SANA

 

 

At 7:20am on Septemba 24, 2011, SOSPETER SIMON NDABAGOYESOSPETER SIMON NDABAGOYE anasema…

GOOD DAYYYYYY...NIMEKUSOMA SAAAAANAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

 

At 12:55pm on Septemba 8, 2011, Mama MalaikaMama Malaika anasema…
Mkweeeee.... salama hapa? Nilipotea kidogo kwani mkwe wako alikuwa likizo akaniweka busy. Nimekuja kula makoo ya pilau la Eid yaliyosalia
At 7:56am on Septemba 6, 2011, DixonDixon anasema…
Habari yako Ustaadhat ?

Wasifu Wangu

Uko Wapi?
Bandari Salama
Umri
33
Kazi Unayofanya
Whatever..
Namba ya Simu ya Haraka
Skype: Lemlik / Twitter: @leilalik
Tovuti Yako:
http://www.africa-beat.com
Anuani ya Barua Pepe
leila_3@hotmail.com
Mahusiano:
Married
Jinsia
-kike

Yaliyojiri Muda Mfupi Uliopita

Profile Icon

Nyama Choma

Photo posted by Leila Tuesday
Profile Icon
Leila wamebadiliwasifu Tuesday
Profile Icon

BiNGiLi DanCE _ BushoKE & VamPiNo (*sWALz*)

BiNGiLi DanCE _ BushoKE & VamPiNo (*sWALz*)
Video posted by Leila Feb 17
Profile Icon

HVD

Photo posted by Leila Feb 14
Profile Icon
Maandalizi mema ya valentini..
Status posted by Leila Feb 13
Profile Icon
Mama Malaika commented on Leila's photo
mkwe... mie ile harufu yake tosha kunilewesha. Labda mkwe wako maana na yeye ni mwana chama. Ha haa haa
Feb 7
Profile Icon

Hussein Machozi - Jela.

""
Video posted by Leila Feb 7
Profile Icon
Happy birthday kwa Alexander, Inno, Mathew, Abubakar na Laura..
Status posted by Leila Feb 7

Leila's Videos

  • Weka Video
  • Ona Zaidi

Leila's Blog

Leila

Kazeze!

Posted on Agosti 24, 2011 at 12:36pm 0 Comments

Wazungu wawili raia wa Ujerumani, Veixlar Marlm (24) na Wexler Roland (21) waliibua kizaazaa ndani ya Kituo cha Mabasi Ubungo (UBT), jijini Dar es Salaam kufuatia kukodi teksi bubu wakitaka kupelekwa Posta Mpya, lakini wakajikuta wakiishia Sinza Makaburini, shuka na data chini.

 

Tukio hilo…

Continue
Leila

Askofu aishi kama raisi..

Posted on Agosti 15, 2011 at 3:49pm 8 Comments

 Maisha ya Askofu wa Huduma ya Ngurumo ya Upako, Geor Davie anayevuma zaidi jijini Arusha na Dar es Salaam ni ya kifahari,…

Continue
Leila

Bidhaa imekuwa adimu.. Wanawake wabakaji wanawatesa wanaume..

Posted on Agosti 12, 2011 at 9:06am 0 Comments

Polisi nchini Zimbabwe wanafanya uchunguzi wa kundi la wanawake ambao wamekuwa wakibaka wanaume, kwa kuwashikia bunduki, tangu mwaka jana. Matukio ya wanaume ambao wamedhalilishwa na wanawake hao yamekuwa ya kawaida katika nchi na hazipiti wiki kadhaa bila taarifa hizo katika vyombo vya habari. Nia ya wanawake hawa haijajulikana, lakini kuna uvumi kwamba wanaweza kuwa wanafanya hivyo kwa ajili ya mambo ya… Continue
Leila

Mwigizaji mkongwe wa Nigeria, Sam Loco Efe afariki

Posted on Agosti 9, 2011 at 12:56pm 1 Comment

Muigizaji   na mchekeshaji…

Continue
Leila

Masaburi Alipogundua Akili za Wabunge Zipo Makalioni

Posted on Agosti 8, 2011 at 2:00pm 7 Comments

MEYA wa jiji la Dar es Salaam, Didas Masaburi, ambaye ametakiwa na wabunge wa jiji la Dar es Salaam kujiuzulu kupisha uchunguzi kutokana na kashfa ya uuzaji kifisadi Shirika la Usafirishaji Dar es Salaam (UDA), amewajibu wabunge hao na kusema kuwa kuna baadhi yao wanashindwa kufikiri kwa kutumia vichwa na badala yake wanafikiri kwa kutumia 'makalio'.

 

Masaburi alitoa kauli hiyo nzito jana mjini hapa alipozungumza na waandishi wa habari katika Hoteli ya Naura…

Continue
 
 
 

© 2012   Created by Babukadja.

Beji  |  Report an Issue  |  Terms of Service

Free Web Counter
Hit Counter