Ni ideal ya kipekee aliyoianzisha huyu pastor, ni moja ya njia ya kuwakumbusha waja wa Mungu kuwa siku ya mwisho inakuja na dalili nyingi zilizoandikwa kwenye vutabu vitakatifu zimeanza kudhihirika, mfano, kuibuka kwa mitume feki, kuibuka kwa…
Tatizo itakuwa kwa Kenya...thamani ya Pesa yao iko juu zaidi ya wengine! ni kama Uingereza uwaambie waache pound yao waingie kwenye euro....ni ngumu kidogo