tuko na tumeumbwa tofauti sana, angel, lakini pia tunaambukizwa tabia kutokana na mazingira yanayotuzunguka..
yote kwa ujumla wake yanaweza kuleteleza hiyo 'chabo'
At 12:09pm on Januari 13, 2011, Babukadja anasema…
Nashukuru sana Ricky, mnasemaje Dom. Naona unafanya kazi ya utukufu mkubwa kaka, unatuganga, Mungu akubariki sana kaka, akuongezee ujuzi na upendo katika kazi ya mikono yako kaka