FotoBaraza.Me

Kijiji cha Waswahili Wadadavuzi wa Hili na Lile

ed
  • Habarisha
  • Picha (31)
  • Photo Albums
  • Videos

Marafiki wa Ed

  • happiness urassa
  • godfrey mwaifunga
  • subira kassim
  • Evelyn Setembe
  • rouqia salim
  • Omar  G 9
  • wilson shailla
  • lightness
  • Tony Montana
  • Ricky Boma
  • Anthony Mhimbira
  • John Ndikwiki
  • Agness  Mgassa
  • Lilian Christopher
  • masoud kamoleka

Gifts Received

Gift

ed has not received any gifts yet

Give a Gift

 

Ukurasa wa ed

Yaliyojiri Muda Mfupi Uliopita

Profile Icon
ed commented on GRIADY GEORGE's blog post 'Mbwa Agoma Kuliachia Jeneza la Mmiliki Wake'
Nilijuwa tu mtu wa kwanza atakayetoa comments ni IL-YA! Huu ni uwanja wake rasmi, nasubiri maelezo zaidi kujua nisichokifahamu! 
Nov 15, 2011
Profile Icon
ed commented on Babukadja's blog post 'Tuwanyonge Wauza "Bwimbwi" - Wabunge'
Hao wauza madawa ya kulevya kwa maoni yangu wasipigwe risasi au kunyongwa, bali wafungwe kifungo cha maisha na kazi ngumu. Kazi zinaweza zikawa zile za kuchimba migodi nk.
Aug 22, 2011
Profile Icon
Photos posted by ed Aug 2, 2011
Profile IconProfile Icon
subira kassim and ed are now friends Jul 29, 2011
Profile Icon
ed commented on IL-YA's blog post 'Aliyefichua Kashfa ya Udaku wa News of The World Afa'
Dada angu Mama Malaika, kuna usemi mwingine wanasema "" a good snake is a dead snake"" huenda wameona kwamba huyu jamaa alitoa sumu nyingi hadharani wakaamua kumuua!  
Jul 21, 2011
Profile Icon
ed commented on GRIADY GEORGE's blog post 'Baba Beyonce Amwibia Binti Yake'
Mzee Knowles kapanda mbegu sasa anavuna na amesahau kwamba ukila na mbegu shamba litakutema hahahhaa!
Jul 17, 2011
Profile Icon
ed commented on GRIADY GEORGE's blog post 'Kina Mama Wasusia Tendo la Ndoa hadi Barabara Iwekwe Sawa'
Msubiri alale tu! Omba asilale na chupi ya bati!
Jul 12, 2011
Profile Icon
Mama Malaika left a comment for ed
Wajomba zako wote wazima ila wameng'ang'ania wanataka kwenda bongo likizo. Vipi mwenzao naye hajambo? Weather vipi huko? Hapa summer ya mwaka huu ina beep tu sijui ndio itakuwa kama mwaka jana?
Jul 12, 2011

Wasifu Wangu

Uko Wapi?
Varna - BULGARIA
Umri
-
Kazi Unayofanya
.
Namba ya Simu ya Haraka
.
Anuani ya Barua Pepe
.
Mahusiano:
In a Relationship
Jinsia
-kiume

Picha za ed

Inapandisha...
  • Weka Picha
  • Ona Zaidi

Comment Wall (21 comments)

Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Me kuweka maoni!

Join FotoBaraza.Me

At 8:13am on Julai 13, 2011, godfrey mwaifungagodfrey mwaifunga anasema…

kaka ed kijiji kina ni furahisha lakini naombeni kuwa rais kama vip nipeni kula zenu ???????????

 

At 9:28pm on Julai 12, 2011, Mama MalaikaMama Malaika anasema…
Wajomba zako wote wazima ila wameng'ang'ania wanataka kwenda bongo likizo. Vipi mwenzao naye hajambo? Weather vipi huko? Hapa summer ya mwaka huu ina beep tu sijui ndio itakuwa kama mwaka jana?
At 9:01pm on Julai 12, 2011, Mama MalaikaMama Malaika anasema…
Kaka ED salama hapa? Umeniacha hoi na comment yako ya kalashnikov. Ha haa haa
At 2:11pm on Julai 11, 2011, happiness urassahappiness urassa anasema…
hahahahah unaruhusiwa akuna shida
At 10:47am on Julai 10, 2011, godfrey mwaifungagodfrey mwaifunga anasema…
naita ji urais vijana wenzangu??????????/
At 7:40pm on Julai 6, 2011, Mama MalaikaMama Malaika anasema…
Habari ya siku tele kaka ED?
At 6:57am on Juni 17, 2011, ANGELA JULIUSANGELA JULIUS anasema…
ED KAKA YANGU MBONA KIMYA SANA? NAPITA KUKUACHIA SALAMU
At 6:52pm on Juni 5, 2011, Mama MalaikaMama Malaika anasema…
Kaka ED salama hapa? Mie nimekaa mkao wa kunyumbi, nasubiria samaki uloniahidi tokea mwaka juzi
At 9:46am on Mei 27, 2011, BabukadjaBabukadja anasema…

Karibu mkuu, japo uko mbali na home lakini sasa kijiji kinakuletea karibu yote yanayojiri hapa. Hii ndio raha ya mtandao japo wakubwa wa dunia wanataka ku-censor internet. Wameona polisi wao wa siri wamezidiwa maarifa, sasa wanaanza kubana hata pumzi zetu.

Enjoy radio kaka

At 11:18am on Mei 26, 2011, BabukadjaBabukadja anasema…
Kaka sasa unaweza kusikiliza radio Clouds na Times hapa kijijini. Enjoy
 
 
 

© 2012   Created by Babukadja.

Beji  |  Report an Issue  |  Terms of Service

Free Web Counter
Hit Counter