FotoBaraza.Me

Kijiji cha Waswahili Wadadavuzi wa Hili na Lile

Marafiki wa Godfrey mwaifunga

  • Tuilumba Simon
  • happiness urassa
  • JAMES MATHEW  LYIMO
  • GRIADY GEORGE
  • rouqia salim
  • ANGELA JULIUS
  • Furaha
  • Dunda
  • ed
  • Mama Malaika
  • Babukadja

Gifts Received

Gift

godfrey mwaifunga has not received any gifts yet

Give a Gift

 

dj danyo kijana mlefu

Yaliyojiri Muda Mfupi Uliopita

Profile IconProfile Icon
happiness urassa and godfrey mwaifunga are now friends Feb 10
Profile Icon
mwaka huu wangu jamani mtanisamehe kwa kuto wakalibisha katika halusi yangu nimeoa mwanzoni mwa mwezi wakwanza t .12
Status posted by godfrey mwaifunga Jan 27
Profile Icon
ANGELA JULIUS left a comment for godfrey mwaifunga
NASHUKURU SANA KAKA GODFREY MUNGU AKUBARIKI
Oct 7, 2011
Profile Icon
alllo kizungu kina nichanganya naitaji kuwa na kitu gani ni jue kinge leza natamani kuongea
Status posted by godfrey mwaifunga Oct 7, 2011
Profile Icon
Nasema hivi...
Status posted by godfrey mwaifunga Oct 7, 2011
Profile Icon
godfrey mwaifunga left a comment for Tuilumba Simon
pole na mizunguko ya mjini ndugu yanguuuuuuuu  
Oct 7, 2011
Profile IconProfile Icon
godfrey mwaifunga and Tuilumba Simon are now friends Oct 7, 2011
Profile Icon
Babukadja commented on godfrey mwaifunga's blog post 'Huenda Hiki Kikawa Kiponzo cha Mwaka'
Au kama vipi bwana Dixon, huyu balozi aitishe tena mpambano upya halafu wafanye ndo kama anafumania upya, akiwa na polisi mwenye mtizamo tofauti, ahahahahhahaha! Ila inaweza kuwa 3-0
Jul 29, 2011
Profile Icon
Dixon commented on godfrey mwaifunga's blog post 'Huenda Hiki Kikawa Kiponzo cha Mwaka'
hahahaaaaa hiyo ndo yenyewe.. big up kwa akimu.. jamaa kama anaona anaonewa ajivue gamba!!
Jul 29, 2011
Profile Icon
Mama Malaika commented on godfrey mwaifunga's blog post 'Huenda Hiki Kikawa Kiponzo cha Mwaka'
ha haa haa haa.....
Jul 28, 2011
Profile Icon
Alfan commented on godfrey mwaifunga's blog post 'Huenda Hiki Kikawa Kiponzo cha Mwaka'
Hahahahhaahahahahahahahahahaahaha! Huyo balozi anaweza akau mtu hapo...!!!1
Jul 28, 2011
Profile Icon
Boniface msami commented on godfrey mwaifunga's blog post 'Huenda Hiki Kikawa Kiponzo cha Mwaka'
kweli cha mwaka 2011
Jul 28, 2011
Profile Icon
Leila commented on godfrey mwaifunga's blog post 'Huenda Hiki Kikawa Kiponzo cha Mwaka'
He he heeeee.. Visasi vingine b'ana!
Jul 28, 2011
Profile Icon

Huenda Hiki Kikawa Kiponzo cha Mwaka

Jamaa mmoja mjini Mbeya amefumwa na mke wa balozi kwa madai kuwa analipa kisasi kwa balozi wa kijiji hicho ambaye anadai amekua 'akimbonyezea kizenji' mke wake mara kwa mara. Lakini walipokua wakihojiwa na polisi, jamaa huyo na mke wa balozi wamesema kuwa hakuna ushaidi kwani hawakukutwa kitanandani hivyo basi kama balozi ana uchungu  basi awaache warudie tena kosa na ndipo wawakamate lakini cha kushangaza ni pale walipopewa fursa ya kurejea pambano polisi alidai kuwa hajaridhika na ushahidi wa…Ona Zaidi
Blog post by godfrey mwaifunga Jul 28, 2011
Profile Icon
Profile Icon
godfrey mwaifunga commented on Babukadja's blog post 'Mgao wa Umeme Wamalizika!'
GOOD I DEA LAKINI UFISADI WAMEUWEKA WAPI KAMAKWELI HIVI LABDA TAKUKURU IWE MAKINI NA JAMBO HILI LA SIVYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO TUNA PIGWA CHANGA LA MACHOO KAKA KAZINJEMA ??????????  
Jul 27, 2011

Wasifu Wangu

Uko Wapi?
mbeya
Umri
22
Kazi Unayofanya
MWANDISHI WA HABARI
Namba ya Simu ya Haraka
huuuuuuuuuu
Tovuti Yako:
http://www.godferymwaifunga@uahoo.com
Anuani ya Barua Pepe
godfreymwaifunga@yahoo.com
Mahusiano:
Single
Jinsia
-kiume

Picha za godfrey mwaifunga

Inapandisha...
  • Weka Picha
  • Ona Zaidi

Comment Wall (6 comments)

Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Me kuweka maoni!

Join FotoBaraza.Me

At 3:37pm on Ocktoba 7, 2011, ANGELA JULIUSANGELA JULIUS anasema…
NASHUKURU SANA KAKA GODFREY MUNGU AKUBARIKI
At 11:51am on Julai 26, 2011, BabukadjaBabukadja anasema…
Mkuu, bila umeme hawapati kitu 2015
At 10:29am on Julai 21, 2011, BabukadjaBabukadja anasema…

God, hayo mambo ya gesi ni saundi tu, we utasikia baada ya hizo wiki tatu jamaa watakaporejea na hiyo bajeti, uwe na ndimu karibu maana utaweza kutapika, najua bado itakuwa ni bajeti ya ahadi zisizo na matumaini yeyote. Kweli inakuingia akilini, uwe na mwaka mzima ushindwe kuandaa bajeti inayoeleweka halafu uje kusema unaweza kuandaa bajeti hiyo kwa wiki 3?

Ukweli wa hili swala ni mpana sana. Tanzania inapata shida ya umeme kwa upumbavu wa viongozi wake. Tanzania tunalo jua linawaka mwaka mzima kwa nini basi wasiseme waondoe kodi kwenye vifaa vyote vya umeme jua na upepo ili kwa matumizi ya nyumbani, ambayo si makubwa, tutumie vyanzo hivyo?

Umeme wa gridi ya taifa ungetakiwa kubaki kwenye viwanda na maofisi, umeme ungetosha na mwingine tungeuza nchi jirani. Lakini kwa sababu viongozi wetu, tulioamini zinachaji, wanapotuangusha unagundua kwamba hakuna cha gesi wala maji, SAUNDI TU!

At 10:18am on Julai 13, 2011, eded anasema…
We Godfrey hujatulia wewe! Kwanza picha yako hatujaiona, pili wewe ndio kwanza umeingia na unataka urais....mimi niko miaka tele humu hata kazi ya ufagiaji wa ofisini sijapewa itakuwa wewe kuwa rais! Mimi sikukatishi tamaa kila kitu kina uwezekano wake lakini kabla ya kupata kura itabidi tukuone kwanza uko kivipi! Hahahaha!
At 8:13am on Julai 10, 2011, eded anasema…
Karibu sana kijijini Mwaifunga! Nawe ukiweza kabla hujakaa mkekani wa kijiji tuwekee picha yako na ulete guduria la chimpumu ili story inoge!
At 8:03am on Julai 10, 2011, BabukadjaBabukadja anasema…
Godfrey karibu sana FotoBaraza. Nasikia pamoja na Sugu kuweka ngumu Fiesta isifanyike Mbeya bado kitu kilianguka bila Majotroooo?

Godfrey mwaifunga's Blog

godfrey mwaifunga

Huenda Hiki Kikawa Kiponzo cha Mwaka

Posted on Julai 28, 2011 at 2:00am 8 Comments

Jamaa mmoja mjini Mbeya amefumwa na mke wa balozi kwa madai kuwa analipa kisasi kwa balozi wa kijiji hicho ambaye anadai amekua 'akimbonyezea kizenji' mke wake mara kwa mara.



Lakini walipokua wakihojiwa na polisi, jamaa huyo na mke wa balozi wamesema kuwa hakuna ushaidi kwani hawakukutwa kitanandani hivyo basi kama balozi ana uchungu  basi awaache warudie tena kosa na ndipo wawakamate lakini cha kushangaza ni pale walipopewa fursa ya kurejea pambano polisi alidai kuwa hajaridhika…

Continue
godfrey mwaifunga

Natafuta Mchumba, wa Kijijini Lakini

Posted on Julai 22, 2011 at 4:00am 9 Comments

Kama kuna yeyote mwenye mchongo wa mademu wa kijijini anistue, nataka  kuvuta jiko lakini ningependelea mchumba atokee kijijini kwani hawa wa tauni wamekuwa na longolongo utasema wizara fulani? Ene aidiaz wadau
godfrey mwaifunga

Mtanzania Afanye Nini Kumudu Maisha?

Posted on Julai 20, 2011 at 10:00am 9 Comments

Maisha kila siku yanazidi kupanda kwa Watanzania je, Mtanzania afanye nini kupunguza garama hizi ikiwa mafuta ghali,  umeme shida, mafuta ya taa juu, na wakati huohuo  Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini akiomba kuchangiwa TSHs. 1 Bilioni ili bajeti ya wizara yake ipite hata kama imejaa madudu (Mungu mkubwa,… Continue
 
 
 

© 2012   Created by Babukadja.

Beji  |  Report an Issue  |  Terms of Service

Free Web Counter
Hit Counter