FotoBaraza.Me

Kijiji cha Waswahili Wadadavuzi wa Hili na Lile

Blogu Zote (692)

mujydebubyz Biashara ya Mtandao (Network Market)

Continue

Imewekwa na mujydebubyz kwenye Septemba 20, 2011 saa 6:29pm — Hakuna Maoni

pastory z. nyabululu wababe na mifumo ya demokrasini zidi ya bara la afrika.

je kinachofanyika libya wananchi hawa wako sahihi?, je nikweli walibya hawa hawatamkumbuka gwiji huyu wa siasa, hasa taifa kubwa lenye nguvu ya mhimili wa jeshi huku uchumi kwao ni kwanjia ya kuwapora wenye malighafi likiwa libya!!!, mafuta yatabaki?, au baadaye ndo watamkumbuka raisi wao?, marekani katikati uchumi uliyumba, madani ka bongo ilikunusuru uchumi wake lazima aibe malighafi muda huu akaona ajisevie libya baada ya kuharibuharibu malighafi iraq, tujiulize akitoka libya atadondoka… Continue

Imewekwa na pastory z. nyabululu kwenye Septemba 17, 2011 saa 4:05pm — Hakuna Maoni

jfmadari mimi Siku ya jumamosi ya tarehe 10 sept 2011,yalifanyika mashinano ya kumpata mrembo wa kitanzania kwenye ukumbi wa mliman city,uliopo maeneo ya chuo kikuu jijini dar es salaam.Lakini siku hiyohiyo ya…

Siku ya jumamosi ya tarehe 10 sept 2011,yalifanyika mashinano ya kumpata mrembo wa kitanzania kwenye ukumbi wa mliman city,uliopo maeneo ya chuo kikuu jijini dar es salaam.Lakini siku hiyohiyo ya tarehe 10 sept 2011 huko visiwani zanzibar kulikuwa na hekaheka kubwa la kuzama kwa meli ya Mv spice islands,iliyozama kwenye bahari ya hindi maeneo ya nungwi na kupoteza watu 202 na wengine zaidi ya 600 kujeruhiwa na wengine hawajapatikana.Ki ukweli nmesikitishwa sana na kamati ya mashindano haya…

Continue

Imewekwa na jfmadari mimi kwenye Septemba 14, 2011 saa 9:07am — Hakuna Maoni

GRIADY GEORGE R.I.P....TO THE HOMMIES WE LOST....IN ZANZIBAR....!



 …

Continue

Imewekwa na GRIADY GEORGE kwenye Septemba 14, 2011 saa 5:15am — Hakuna Maoni

GRIADY GEORGE WATU ZAIDI YA 100....WAFA NCHINI KENYA...!



Continue

Imewekwa na GRIADY GEORGE kwenye Septemba 14, 2011 saa 5:11am — Hakuna Maoni

GRIADY GEORGE 2 PAC SHAKUR....ATIMIZA MIAKA 15 YA KIFO CHAKE...!!



TUPAC AMARU SHAKUR (JUNE 16,1971 - SEPT 7,1996)…
Continue

Imewekwa na GRIADY GEORGE kwenye Septemba 14, 2011 saa 5:04am — Hakuna Maoni

GRIADY GEORGE .JUSTIN BIEBER....ATANGAZA NDOA..!

..

JUSTIN DREW BIEBER

Justine Bieber…

Continue

Imewekwa na GRIADY GEORGE kwenye Septemba 14, 2011 saa 5:02am — Hakuna Maoni

GRIADY GEORGE ....SAIDIA NDUGU ZETU WA ZANZIBAR...!

.

Tuesday, September 13, 2011…





Continue

Imewekwa na GRIADY GEORGE kwenye Septemba 14, 2011 saa 4:56am — Hakuna Maoni

jfk Frank na dada zake

Kati ya wanamuziki wa Tanzania ambao hawajatendewa haki ni Frank na dada zake. Walitoa nyimbo nyingi nzuri, kama Kolokolola, Simba wa Bara, Tufurahi Harusi lakini ni mara chache wao kukumbukwa japo hizo nyimbo hupigwa karibu kila wiki na zimerekodiwa tena na tena na wanamuziki wengi tu. Na mbaya zaidi ni baadhi ya nyimbo kutajwa na watangazaji wetu kuwa ni za Fundi Konde mwanamuziki wa Kenya. Kwa picha za Frank  na hadithi za wanamuziki wengine wa zamani, nenda… Continue

Imewekwa na jfk kwenye Septemba 3, 2011 saa 10:47am — Hakuna Maoni

GRIADY GEORGE SAMUEL ETO'O ASAJILIWA....FC ANZHI MAKHACHKALA!



Cameroon star Samuel Eto’o ame-sign mkataba wa miaka 3 na timu ya FC Anzhi Makhachkala toka…

Continue

Imewekwa na GRIADY GEORGE kwenye Agosti 27, 2011 saa 6:36am — Hakuna Maoni

GRIADY GEORGE ....AALIYAH ATIMIZA MIAKA 10 YA KIFO CHAKE...!



AALIYAH DANA HAUGTON (16…
Continue

Imewekwa na GRIADY GEORGE kwenye Agosti 27, 2011 saa 6:34am — Hakuna Maoni

JAMES MATHEW  LYIMO Umoja wa Mataifa washambuliwa Nigeria

Kikundi cha waislamu wenye msimamo mkali nchini Nigeria - Boko Haram - kimedai kuhusika na shambulio dhidi ya makao makuu ya Umoja wa mataifa katika jiji la Abuja.

Msemaji wa kundi hilo alitoa madai hayo alipoongea kwa simu na afisi za BBC nchini Nigeria.

Kikundi hicho kilifanya mashambulio kama hayo dhidi ya makao makuu ya polisi mjini Abuja mwezi Juni mwaka huu.

Mkuu wa polisi wa Abuja Mike…

Continue

Imewekwa na JAMES MATHEW LYIMO kwenye Agosti 27, 2011 saa 6:24am — Hakuna Maoni

GRIADY GEORGE Mchora Katuni Avunjwa Mikono Kwa Kumchora Rais





NewsImages/5911250.jpg

Continue

Imewekwa na GRIADY GEORGE kwenye Agosti 27, 2011 saa 6:02am — Hakuna Maoni

GRIADY GEORGE Mbwa Agoma Kuliachia Jeneza la Mmiliki Wake





NewsImages/5912214.jpg

Continue

Imewekwa na GRIADY GEORGE kwenye Agosti 27, 2011 saa 5:57am — 3 Comments

JAMES MATHEW  LYIMO ....SAMIR NASRI....ASEPEA MANCHESTER CITY...!

 

SAMIR NASRI - FRANCE/MANCHESTER CITY FC…
Continue

Imewekwa na JAMES MATHEW LYIMO kwenye Agosti 25, 2011 saa 7:30pm — Hakuna Maoni

JAMES MATHEW  LYIMO SAMUEL ETO'O ASAJILIWA....FC ANZHI MAKHACHKALA!



 

Cameroon star Samuel Eto’o ame-sign mkataba wa miaka 3 na timu ya FC Anzhi Makhachkala toka Urusi…

Continue

Imewekwa na JAMES MATHEW LYIMO kwenye Agosti 25, 2011 saa 7:28pm — Hakuna Maoni

JAMES MATHEW  LYIMO J. MARTINS ATOA SINGLES NA CABO SNOOP NA FALLY ..!

J. MARTINS vs CABO SNOOP



Artist na Producer toka…
Continue

Imewekwa na JAMES MATHEW LYIMO kwenye Agosti 25, 2011 saa 7:26pm — Hakuna Maoni

JAMES MATHEW  LYIMO RAIS KIKWETE....AMPIGA STOP...DAVID JAIRO!

JAKAYA MRISHO KIKWETE - TZ PRESIDENT

Rais Jakaya Kikwete ameamuru Katibu Mkuu wa…

Continue

Imewekwa na JAMES MATHEW LYIMO kwenye Agosti 25, 2011 saa 7:24pm — Hakuna Maoni

JAMES MATHEW  LYIMO BOBI WINE....ATOA NGOMA YENYE UTATA...!

ROBERT KYAGULANYI - BOBI WINE

Inaonekana kama Bobi Wine kwasasa anavuka mipaka…

Continue

Imewekwa na JAMES MATHEW LYIMO kwenye Agosti 25, 2011 saa 7:21pm — Hakuna Maoni

JAMES MATHEW  LYIMO KICHWA CHA GADDAFI KWA....DOLA MILIONI 1.7

COLONEL MUAMMAR GADDAFI - LIBYA

Waasi wa nchini Libya walioongoza mapigano ya kumng'oa Rais Muammar Gaddafi madarakani wameahidiwa…

Continue

Imewekwa na JAMES MATHEW LYIMO kwenye Agosti 25, 2011 saa 7:16pm — Hakuna Maoni

© 2012   Created by Babukadja.

Beji  |  Report an Issue  |  Terms of Service

Free Web Counter
Hit Counter